Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini

Uandishi wa Habari ni Kosa la Jinai Nchini Bahrain

  18 Februari 2016

Mwandishi wa habari wa Marekani, Anna Therese Day pamoja na wenzake walishikiliwa nchini Bahrain, na kisha kurudishwa nchini mwao wakati wa kumbukumbu ya miaka mitano ya maandamano ya kuipinga serikali ya nchini Bahrain.