· Novemba, 2013

Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Novemba, 2013

Mkutano wa Global Voices Cairo, Misri

Sauti Chipukizi  16 Novemba 2013

Mkutano mwingine wa Global Voices unapangwa kufanyika Novemba 16 jijini Cairo, Misri. Tafadhali shiriki na wanachama wetu wa Jumuiya ya GV kwa kusanyiko hili maalumu.

Udadisi wa Sami Anan

  15 Novemba 2013

Mwanablogu wa Misri Zeinobia anatoa maoni yake machache kuhusu kuibuka tena kwa Sami Anan, Mnadhimu mkuu wa zamani wa Majeshi ya Misri. Je, ana mpango wa kugombea urais? Mwanahabari wa...

Misri: “Morsi Hatarudi Madarakani”

  14 Novemba 2013

Aliyekuwa rais wa Misri Mohamed Morsi hatarudi madarakani, anasema mwanablogu wa Misri Alya Gadi, kwenye mtandao wa Twita. Kuufanya ujumbe wake wazi, ametafsiri kwa lugha mbalimbali: مرسي لن يعود – Morsi...

Misri katika Harakati za Kujitafutia Makazi

  12 Novemba 2013

Ni wapi mtu hujisikia kuwa yupo nyumbani? mwanablogu wa Misri Tarek Shalaby atoa maoni yake: Baadhi ya watu wanasema kuwa nyumbani ni pale palipo na kitanda chake, wengine wanadai kuwa...

Misri: Sabuni ya Ubikira?

  3 Novemba 2013

Mwanaharakati wa Kimsiri Nelly Ali anashangaa: Wakati #Misri iko bize…Upuuzi kama huu uko kwenye makabati yetu ukiharibu maisha yetu "Sabuni ya Ubikira"#wanawake/a> pic.twitter.com/IXplFn2kY7 — Nelly Ali (@nellyali) November 1, 2013...