Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Aprili, 2015
Swali: Wapiganaji Wangapi wa Jihadi Wana Historia ya Jeshi?
Kwa kutumia dondoo kutoka kwenye ripoti ya Der Spiegel kuhusu watu walionyuma ya muundo wa ISIS, mwanablogu wa Palestina Iyad El-Baghdadi anatwiti: After that Spiegel story about the "mastermind" behind...
Magazeti Maarufu Iran Yataka Kusitishwa kwa Mashambulio ya Anga Nchini Yemen
Magazeti mawili yenye umaarufu mkubwa leo katika kurasa za mbele yalihanikizwa kwa habari za kushindwa kwa Saudi Arabia. Habari zili zimetokana na tangazo la Saudi Arabia la kusitisha mashambulizi ya anga...
Misri Yamhukumu Rais wa Zamani Morsi Miaka 20 Jela kwa “Utishaji na Matumizi ya Nguvu” Dhidi ya Waandamanaji
Misri imemhukumu rais wake wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia Mohammed Morsi kifungo cha miaka 20 jela leo, bada ya kukuta na hatia ya "utishaji na matumizi ya nguvu kupita kiasi" kwa waandamanaji mwaka 2012.