Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Agosti, 2015
Mlipuko na Milio ya Risasi Katika Kasri la Dolmabahçe huko Instanbul
Mnamo Agosti 19, jiji la Istanbul lilijikuta katika hali ya taharuki kufuatia kuendelea kushamiri kwa hali tete ya kisiasa nchini Uturuki