Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Mei, 2018
Wasomaji wa Global Voices wamefuatilia nini juma lililopita?
Wakati wa Juma la kati ya Mei 7-13, 2018, habari na tafsiri zetu zimefikia watu kutoka nchi 207. Nchi ya 61 kwenye orodha? Kazakhstan. Na namba 19? Indonesia.
“Nilitamani Wajukuu wangu Wakulie kwenye Nyumba Ile”:Ushuhuda wa Mwanamke wa Syria mwenye Miaka 61 kutoka Zamalka
Nilitamani wajukuu wangu wakulie kwenye nyumba ile, na hivyo kuweza kuongozea uhai mpya nyumbani pale, kama walivyofanya mabubu zetu wa kila kizazi kilichopita.