Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Machi, 2019
Jinsi Viongozi Wa Saudia Wanavyotumia Dini Kujiimarisha na Kunyamazisha Sauti za Wakosoaji
''Unyanyasaji ni mfumo wenye mizizi mirefu, na [kwenye nchi yetu] unawezeshwa na dini.''
Wanaharakati Nchini Iraki Wapaza Sauti Kupinga Muswada wa Makosa ya Mtandaoni
Muswada unaeleza hukumu ndefu ya gerezani, ikiwa ni pamoja na kufungwa maisha kwa kufanya makosa yanayohusiana na kuzungumza.
Wanawake Wanaongoza Maandamano Nchini Sudan
“Wanawake wako mbele, kushoto, na katikati mwa mapinduzi. Maandamano yalipoanza, watu walidai, "Wanawake wangebaki nyumbani.' Lakini sisi tulisema — hapana.”