Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Aprili, 2019
19 Aprili 2019
Mwanaharakati Ahmed Mansoor Aliyefungwa UAE Aendelea na Mgomo wa Kutokula

Mansoor anatumikia miaka kumi jela baada ya mahakama kumhukumu kwa kuchapisha habari za uongo na umbea kwenye mitandao ya kijamii.
9 Aprili 2019
Osama Al-Najjar Mwanaharakati wa Falme za Kiarabu ‘Anasota’ Jela Miaka Miwili Zaidi Baada ya Kumaliza Kifungo Chake

Al-Najjar alikamatwa kwa sababu ya ujumbe wa mtandao wa Twita wenye wito wa kuachiwa huru wafungwa wote waliofungwa kwa kutoa maoni Katika Falme za Kiarabu.