Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Novemba, 2012
Uharibifu Nchini Syria Katika Picha
Wapiga picha wa Syria wanatumia mitandao ya kijamii kuweka taswira ya uharibifu katika maeneo mbalimbali na kwenye mitaa. Pamoja na ufinyu wa vitendea kazi vya utoaji wa habari, habari zinazotoka Syria zinaonesha hali ya kutisha ya uharibifu inayoikabili nchi ya Syria.