· Julai, 2014

Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Julai, 2014

Israel Yaanza Operesheni ya Ardhini Gaza

  18 Julai 2014

Vikosi vya kijeshi vya Israeli vimeanza kuingia Gaza, baada ya siku kumi za mapigano yaliyogharimu maisha ya wa-Palestina 200. Hatua hiyo inafuatia Hamas kukataa pendekezo la kusitisha mapigano lililotolewa na Misri.