· Agosti, 2013

Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Agosti, 2013

Makanisa Yashambuliwa Nchini Misri

David Degner aweka picha kutoka makanisa yaliyoshambuliwa na kuchomwa katika sehemu iitwayo Mallawi, Minya, Misri ya Juu hapa. Anaandika: Siku ya Ijumaa makanisa mawili katika kijiji cha Mallawi, jimbo la Minya, yalishambuliwa na...

22 Agosti 2013

PICHA: Makanisa Yanalia Nchini Misri

Kufuatia kuchomwa kwa makanisa, msichana mdogo katika Misri ya Juu alichora picha hii iliyonifanya nitiririkwe na machozi: pic.twitter.com/iymw3SF49R — daliaziada (@daliaziada) Agosti 15, 2013 Mtetezi wa haki za wanawake nchini Misri Dalia Aziada...

22 Agosti 2013