Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Septemba, 2013
VIDEO: Shairi la Filamu “Maombi ya Woga” Latia Fora Misri
Mkusanyiko wa kiraia la Misri Mosireen umekuwa, bila kuchoka, ukiweka kumbukumbuza Mapinduzi ya Januari 25 na matukio yaliyofuata baadae kwa kutumia picha na dokumentari. Moja ya ubunifu wake wa mwisho...
GV Face: Mitazamo Tofauti Kuhusu Habari za Mgogoro wa Syria
Namna gani taarifa za Syria zinatofautiana kulingana na uliko? Na hilo linamaanisha nini kwa wananchi wa Syria? Tulilizungumza hili pamoja na mambo mengine katika toleo la pili la GV Face.
Blogu na Uhuru wa Saudi Arabia
Saudi Arabia inasherekea Siku ya Uhuru tarehe Septemba 23. Wanablogu wanaeleza matumaini yao kwa taifa ambalo linaheshimu na kuthamini watu wake na matarajio yao.
Kubusiana Kwenye Mitaa ya Misri
Picha inayosambazwa katika mtandao wa Facebook inayowaonyesha vijana wawili raia wa Misri wakibusiana barabarani iliibua hasira na wengine kuipenda. Ilitolewa na Ahmed ElGohary, mtangazaji aliyepingwa kwa ‘kukosa utu uzima’ kwa sababu ya kuweka picha ya jinsi...
Iran: “Mauaji” ya Wapinzani wa Iran 52 Wasiokuwa na Silaha
Vikosi vya usalama vya Iraq vilifanya “mauaji” ya wapinzani wa Iran wapatao 52 ambao hata hivyo hawakuwa na silaha asubuhi ya Jumapili ndani ya kambi yao kaskazini mwa Baghdad, mujahedeen-e-Khalq, wafungwa...