Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Mei, 2019
Bloga wa Ki-Mauritania Akwepa Adhabu ya Kifo, Lakini Amebaki Kifungoni
Ould Mkhaitir alishtakiwa kwa kuandika makala iliyokuwa ikiikosoa wajibu wa dini katika mfumo wa kidini wa Mauritania.
Huru Mchana, Usiku Kifungoni: Mwanaharakati wa Kimisri Azungumzia Masharti ya Kufunguliwa Kwake
Wanaharakati, walioachiliwa hivi karibuni kutoka gerezani, uhuru wao kwa sasa unaanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni.