Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Aprili, 2016
Mwanablogu wa Irani Agoma Kula kwa Siku 18, Afya Yake Yazorota Akipambana Kudai Uhuru
Mwanaharakati na mwanablogu wa kupinga kudhibitiwa kwa habari Hossein Ronaghi Maleki amekuwa kwenye mgomo wa kula tangu Machi 26, na afya yake inaendelea kuzorota kwa kasi
Raia wa Iraqi Aliyefanya Kazi ya Ufasiri kwa Jeshi la Marekani Akwama Ugiriki
Umoja wa Ulaya unajiandaa kuwarudisha maelfu ya wakimbizi nchini Uturuki. Mmoja wapo ni kijana aliyefanya kazi na Jeshi la Marekani nchini Iraq.