Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Oktoba, 2010
Irani: Ziara ya Rais Ahamdinejad Nchini Lebanoni
Rais wa Irani, Mahmoud Ahmadinejad, amemaliza ziara yake ya siku mbili nchini lebanoni. Ilikuwa ni ziara yake rasmi ya kwanza tangu mwaka 2005 wakati alipochukua...
Moroko: Kupinga Mateso Sehemu Moja; Kupinga Mateso Kila Sehemu
Wanablogu wa Moroko wamekuwa wakionyesha kukasirishwa kwao juu ya tabia ya kutojali ya vyombo vya habari vikubwa na unafiki wa serikali yao kufuatia kifo cha...
Urusi: Wanablogu wakutana na Balozi wa Irani, waepa kuhoji masuala nyeti
Mkutano kati ya wanablogu wanaoongoza nchini Urusi na Balozi wa Irani jijini Moscow, siku tatu tu baada ya mwanablogu Hossein Derakshan kuhukumiwa kifungo cha miaka...