Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Machi, 2017
Kilicho cha Zamani ni Kipya: Unasikiliza? Matangazo ya Sauti
Katika matangazo haya ya sauti, tunakupeleka hadi Jamaica, Indonesia, Syria, Macedonia na Ethiopia kwa simulizi za kumbukumbu, ufufuaji na uzima mpya
Donald Trump Alikuwa Sahihi: Wa-Irani Wana Tabia ya Kucheza na Moto
Sherehe za kale nchini Iran za kucheza na moto, zinazoitwa Chaharshanbe Suri, zimethibitisha kuwa Donald Trump alikuwa sahihi -ingawa bila kujua - pale alipoituhumu Iran hivi karibuni kwa "kucheza na moto."