Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Aprili, 2018
Masikini Nchini Jordan Wanaweza Kukosa Maji Juma Zima, Ilihali Matajiri Wanapata Maji muda Wote
"Tungepata maji mara mbili kwa juma, wakati mwingine kipindi cha kiangazi kiasi hicho hakitoshi hata kutuvusha kwa wiki moja..."