Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Septemba, 2016
Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices: Sisi, Raia
Wiki tunaongea na waandishi wetu Elizabeth Rivera, Giovanna Salazar na Juan Tadeo kuhusu upinzani wa kisiasa unaozidi kupata umaarufu nchini Mexico.
Mahakama Nchini Algeria Yaonesha Msimamo dhidi ya Mashtaka ya Mwanaharakati Aliyefungwa kwa Kutusi Uislamu Kupitia Facebook
Pamoja na kuwa adhabu yake imepunguzwa kwa miaka miwili, Bouhafs ataendelea kutumikia adhabu yake gerezani kwa kutumia uhuru wake wa kujieleza.
Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices: Hatutaki Mazoea
Wiki tunakusimulia visa vya maandamano, majanga na ubaguzi vinavyofanyika Ethiopia, Egypt, Pakistan, Trinidad na Australia.