Habari kuhusu Iran

Magazeti Maarufu Iran Yataka Kusitishwa kwa Mashambulio ya Anga Nchini Yemen

  24 Aprili 2015

Magazeti mawili yenye umaarufu mkubwa leo katika kurasa za mbele yalihanikizwa kwa habari za kushindwa kwa Saudi Arabia. Habari zili zimetokana na tangazo la Saudi Arabia la kusitisha mashambulizi ya anga dhidi ya Yemen mapema Jumanne hii. Kayhan, gazeti lililo na uhusiano na kiongozi mkuu wa Kidini, Ayatollah Khamenei, katika ukurasa wake...