Habari kuhusu Iran kutoka Disemba, 2018
Mamlaka za Iran Zawakamata ‘Watumiaji wa Instagram’ katika harakati za Kudhibiti Mitandao ya Kijamii
Mamlaka ya Irani yatangaza kuondoa Instagram kwa sababu ya maovu ya "watumiaji mashuhuri wa Instagram". Siku chache baadaye, shirika la utangazaji la serikali afichua kukamatwa kwa "watumiaji mashuhuri wa Instagram."