Habari kuhusu Iran kutoka Machi, 2017
Donald Trump Alikuwa Sahihi: Wa-Irani Wana Tabia ya Kucheza na Moto
Sherehe za kale nchini Iran za kucheza na moto, zinazoitwa Chaharshanbe Suri, zimethibitisha kuwa Donald Trump alikuwa sahihi -ingawa bila kujua - pale alipoituhumu Iran hivi karibuni kwa "kucheza na moto."