Habari kuhusu Umoja wa Falme za Kiarabu
Ukeketaji Waongezeka Mashariki ya Kati Katika Kipindi cha Mlipuko wa Mlipuko wa COVID-19
Janga hili limetibua mikakati ya kuzuia ukeketaji huko Mashariki ya Kati ambapo suala hili linaripotiwa kwa uchache sana.
Mwanaharakati Ahmed Mansoor Aliyefungwa UAE Aendelea na Mgomo wa Kutokula
Mansoor anatumikia miaka kumi jela baada ya mahakama kumhukumu kwa kuchapisha habari za uongo na umbea kwenye mitandao ya kijamii.
Osama Al-Najjar Mwanaharakati wa Falme za Kiarabu ‘Anasota’ Jela Miaka Miwili Zaidi Baada ya Kumaliza Kifungo Chake
Al-Najjar alikamatwa kwa sababu ya ujumbe wa mtandao wa Twita wenye wito wa kuachiwa huru wafungwa wote waliofungwa kwa kutoa maoni Katika Falme za Kiarabu.
Salamu, Brazil: Mashabiki wa Kiislam wa Kandanda na Kombe la Dunia la FIFA
Raia wa Colombia aliye na makazi yake katika Umoja wa Falme za Kiarabu, Marcelino Torrecilla anatuhabarisha [es] kuhusiana na upekee wa mashabiki wa kiislamu wa mpira wa miguu kwenye Kombe...
MENA: Maoni Wakati Wa Kuapishwa Obama
Tukio la kihistoria limetokea Marekani leo wakati Barack Obama alipoapishwa kuwa rais wa 44. Wakati kuungwa mkono kwa Obama kati ya Waarabu kumekuwa kukipungua katika miezi michache iliyopita kufuatia uteuzi...