Habari kuhusu Umoja wa Falme za Kiarabu kutoka Aprili, 2019
Mwanaharakati Ahmed Mansoor Aliyefungwa UAE Aendelea na Mgomo wa Kutokula
Mansoor anatumikia miaka kumi jela baada ya mahakama kumhukumu kwa kuchapisha habari za uongo na umbea kwenye mitandao ya kijamii.
Osama Al-Najjar Mwanaharakati wa Falme za Kiarabu ‘Anasota’ Jela Miaka Miwili Zaidi Baada ya Kumaliza Kifungo Chake
Al-Najjar alikamatwa kwa sababu ya ujumbe wa mtandao wa Twita wenye wito wa kuachiwa huru wafungwa wote waliofungwa kwa kutoa maoni Katika Falme za Kiarabu.