Habari kuhusu Iran kutoka Agosti, 2008
Waziri matatani kwa cheti ‘feki’
Ali Kordan,Waziri wa Mambo ya Ndani wa Irani, Katika siku za hivi karibuni, ameshutumiwa vikali kwa kuonyesha Shahada ‘feki’ ya Udaktari (PhD) aliyodai kupata kutoka katika chuo kikuu chenye sifa...