· Januari, 2013

Habari kuhusu Iran kutoka Januari, 2013

Uchafuzi wa Hewa wa Kutisha Jijini Tehran Waanikwa

  22 Januari 2013

Uchafuzi wa hewa umekuwa adui wa umma kwa mamilioni ya watu wa Tehran kwa miaka mingi sasa. Mapema mwezi huu, Wizara ya Afya ilitangaza kuwa, mwaka uliopita, zaidi ya watu 4, 400 walipoteza maisha kwa sababu ya uchafuzi wa hewa huko Tehran, mji mkuu wa Iran.