· Disemba, 2013

Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Disemba, 2013

Misri: Picha 27 kutoka Hala'ib

Mwanablogu Mmisri, Zeinobia, amesambaza onyesho hili la picha kutoka Hala'ib, bandari na mji katika mwambao wa Bahari ya Shamu, kwenye Pembetatu ya Hala'ib, karibu na mpaka wa Sudan:   Tazama...

23 Disemba 2013