Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Agosti, 2009
Palestina: Maoni Juu ya Kuzinduliwa Kwa Huduma ya Google.ps
Google imeongeza anwani ya google.ps (google palestina) kwenye orodha yake zana inayotoa huduma za utafutaji zinazolenga sehemu mbali mbali. Anwani hiyo mpya inakusudiwa kufanya kazi katika ukanda wea Magharibi na Gaza, ambako watoaji huduma za intaneti hufanyia kazi zao.