Kundi la raia wa mtandaoni wa Iran na wanaharakati waliandika barua ya wazi kwa rais wa Iran Hassan Rouhani na kumtaka kutumia mamlaka yake ya kukomesha unyanyasaji‘wanachama wa familia’ wa waandishi wa habari wa Iran. Zaidi ya watu 100, kutoka ndani na nje ya Iran, walitia saini barua hii ya wazi.