Iran: Hukumu ya Jela ya Mwanablogu Yapunguzwa Hadi Miaka 17

“Haki kwa Hossein Derakhshan” blogu ilitangaza mnamo Oktoba 16, 2013 kwamba mamlaka ya Iran imepunguza kifungo cha jela cha mwanablogu wa Iran Hossein Derakhshan (pia anajulikana kama “Hoder”) hadi miaka 17 kutoka miaka 19.5 Derakhshan alikamatwa mnamo Novemba 1, 2008.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.