Misri: Sabuni ya Ubikira?

Mwanaharakati wa Kimsiri Nelly Ali anashangaa:

Wakati #Misri iko bize…Upuuzi kama huu uko kwenye makabati yetu ukiharibu maisha yetu Sabuni ya Ubikira

Akimjibu, anamwambia:

@nellyali imekuwa kwenye makabatini kote Uarabuni kama Saudi Arabia na Dubai kwa zaidi ya miaka mitano na vimekuwa na faida sana

Ni wazi, sabuni ya ubikra ni biashara kubwa katika nchi za Uarabuni.

1 maoni

jiunge na Mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.