Mwanablogu aliyefungwa jela,Hossein Ronaghi Maleki anahitaji huduma ya matibabu ya haraka. Alihukumiwa kifungo cha jela cha miaka 15. Laleh alitwiti
Mwanaharakati aliyefungwa jela Hossein Ronaghi yuko katika hali mbaya ya afya, kuvimba figo -(moja haifanyi kazi), kibofu cha mkojo na ugonjwa wa kibofu #Iran #Iranelection
— Lalehلاله (@Lalehsr) Novemba 25, 2013