Habari Mpya
Iran, Kama Inavyoelezewa na Kuandikwa na Waandishi wa Habari wa Ki-Irani
Muanzishaji mwenza wa Global Voices Ethan Zuckerman amewaelezea kuwa “mfano wa daraja” watu ambao wanapenda kuelezea utamaduni wa nyumbani kwao kwa watu wanaotoka katika jamii nyingine. Wazo hiki lilitengenezwa kupitia...
Wabrazili Waingia Mitaani Kumpinga Bolsonaro Kupunguza Fungu la Elimu
Kutoka São Paulo mpaka Amazon, maelfu wa wa-Brazili waliingia mtaani mnamo Mei 15 kupigania elimu ya umma.
#MatrikiUtambulisho: Mazungumzo ya Twita yanayoangazia utambulisho na haki za kidijitali barani Africa

Wanaharakati kutoka Burkina Faso, Nijeria, Afrika Kusini na Kenya, wataongoza mazungumzo kwenye mitandao ya kijamii kwa kutumia lugha zao za asili kuhusu masuala ya lugha, makabila na haki za kidijitali barani Afrika.