Habari kutoka 9 Aprili 2014
Jijini Havana Unapata Kitabu Bure, Bila Malipo
"Kitabu hiki kinamilikiw ana yeyote atakayekipata na kukitoa tena baada ya kukisoma ili watu wengine wakifurahie."
“Ni wa Kike!”: Kampeni ya Kukomesha Utoaji wa “Mimba za Kike” Nchini India na China
Tovuti ya MujeresMundi, inayoongozwa na mtaalamu wa mawasiliano anayeishi Peru na Ubelgiji Xaviera Medina, inahusika na kampeni ya kuelemisha watu kuhusu “Ni mtoto wa Kike” inakosudiwa kukomesha utoaji wa mimba...
Unapenda wimbo gani wa kulalia?
Nyimbo la kulalia si tu zinawafaa watoto, lakini pia zinaweza kuwafaa watu wazima. Tuma wimbo wako wa kulalia kwa PRI
Shirika la Friedrich Ebert Lachapisha Ripoti ya Matumizi ya Mitandao ya Kijamii Nchini Cameroon
Shirika la Friedrich Ebert limechapisha ripoti ya utafiti kwenye matumizi ya mitandao ya kijamii nchini Cameroon: Kwa kiwango kipi, kwa malengo yapi na kwa akina nani basi mitandao ya kijamii...
Kwa Nini Rais wa Madagaska Hajatangaza Uteuzi wa Waziri Mkuu
Rais mpya wa Madagaska Hery Rajaonarimampianina alichaguliwa kuwa raia mnamo Desemba 20, 2013. Miezi michache baadae, bado hajatangaza uteuzi wa waziri mkuu wa serikali yake mpya. Wachunguzi wengi wanashangaa kwa nini...
Mkutano wa Global Voices Jijini Lagos, Naijeria
Mikutano ya Global Voices imeanza kwa mwaka 2014! Mkutano wetu wa kwanza kwa mwaka huu mpya utafanyika Lagos, Naijeria tarehe Aprili 17, 2014. Pata habari zaidi kuhusu namna ya kushiriki.