“Ni wa Kike!”: Kampeni ya Kukomesha Utoaji wa “Mimba za Kike” Nchini India na China

Tovuti ya MujeresMundi, inayoongozwa na mtaalamu wa mawasiliano anayeishi Peru na Ubelgiji Xaviera Medina, inahusika na kampeni ya kuelemisha watu kuhusu “Ni mtoto wa Kike” inakosudiwa kukomesha utoaji wa mimba za kike nchini India na China:

Wasichana wanauawa mithili ya mauaji ya kimbari ya jinsia katika muongo mmoja kuliko watu waliouawa kwenye matukio yote ya mauaji ya kimbari kwenye karne ya ishirini. Inashangaza, hata hivyo suala hili halijapata wasikilizaji kwenye jamii ya kimataifa. Tunaelezaje kimya hiki cha ajabu kwenye suala hili zito linalohusu haki za binadamu?

Kipande hiki kina mahojiano na Evan Grae Davis, mtayarishaji wa filamu ya maisha halisi [dokumentari] iitwayo It's a girl! [Ni wa kike!], anayesema, “Nisingejifikiria kuwa mwanaharakati mpaka nilipoandaa na kuongoza filamu hii ya It’s a Girl”.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.