5 Julai 2014

Habari kutoka 5 Julai 2014

Jifunze Namna ya Kulinda Mawasiliano Yako ya Barua Pepe kwa Dakika Zisizozidi 30

  5 Julai 2014

Ulinzi binafsi wa Barua pepe , ni mwongozo wa anayetaka kujifunza kulinda barua pepe zake kwa kutumia Mfuko wa Zana Huru (FSF), uliotolewa katika lugha sita mpya [kifaransa, kijerumani, kijapani, kirusi, kireno, kituruki] mnamo Juni 30, 2014. Matoleo katika lugha nyinginezo yako mbioni kutoka. Hata kama huna cha kuficha, kutumia zana hii kunalinda faragha ya watu unaowasiliana nao,...