Mambo Matano Unayopaswa kuyajua Kuhusu Harusi za Kitukimeni

Picha ya bibi harusi wa Kituruki. Picha imepigwa kutoka kwenye video ya YouTube iliyowekwa na Basim Annanow
Ýigit çal söýgi sazyňy,
Gelin artdyr sen näziňi
Oýnaň şadyýan tansyny çünki bugün toý toý
Aýdalyň biz toý aýdymy, bugün bizde toý toý
Kijana hucheza muziki wa mapenzi,
Bibi harusi huchepuka kidogo,
Cheza kwa furaha kwa sababu ni siku yako ya harusi,
Tutaimba wimbo wa harusi yetu,
Leo tunasherehekea.
Harusi ni za muhimu sana kwa kwa Watukimen. Kuoza watoto wao huonyesha mwendelezo wa maisha ya kijamii na thamani ya familia kwenye jamii. Kiasili Waturukimeni wana familia kubwa na harusi ni fursa ya kuona ndugu wnegi zaidi, dalili ya heshima kwa majirani.
Kuna mila kadhaa za kufanya katika siku ya harusi ya Waturukimeni. Hapa ni muhtasari mfupi wa mambo ya kutazama:
1. Lazima uwe na mwimbaji maarufu! Utaenda kucheza mitaani!
Kama una utajiri wa kutosha kukaribia kununua utajiri wa gesi asilia ya taifa hilo, unaweza kumkodisha J-Lo, lakini hata kama huna utajiri huo basi angalau mwimbaji utakayempata awe na uwezo wa kuwasisimua waalikwa wako.
Hapa chini ni mfano wa uimbaji wa kwenye harusi kwa kumtumia mwimbaji maarufu wa nchi hiyo Kakysh:
Şemal näz edip öwüsýär şugün
Güller näz edip öwüsýär şügün
Ýarym näz edip ýylgyrsaň senem
Toý güni aýly günüm, sögülim şugün.
Upepo unavuma kwa kasi ya kubembeleza,
Maua yanavuma taratibu,
Mpenzi wangu utatabasamu taratibu,
Mpenzi wangu leo ni siku ya harusi yetu
Kwenye jukwaa la soga maarufu nchini Turkmenistan, Ertir.com, watumiaji walijadili mashairi ya wimbo huo.
NitrogeN Sifa [tkm] Kakysh, anauliza swali kuhusu hamasa inayoonekana mara kwa mara kwenye wimbo huo:
gowy aydyaray Kakysh. Aydymlarynyng köpüsinde Läle sözi geçyär. Shondan yanan oydyan
Kakysh anaimba vizuri. Kwenye nyimbo zake nyingi anatumia jina Läle. Labda alikwaza kimapenzi.
Meka MerGenius pia ana jiuliza [tkm] kuhusu sauti ya mtu anayeitikia wimbo huo:
Kakyş Amandurdyyew näz edyär mi?
Hivi Kakysh Amandurdyyew anachepuka?
Watumiaji wengine wa mtandao wanajadili [tkm] mitazamo yao kuhusu ndoa:
oylenyancha her hili sozler aydylyar son kan aydylanok
Kabla tu ya ndoa watu husema maneno yote ya bashasha, lakini hawafanyi hivyo baada ya kuoana
NitrogeN anandelea, kutania [tkm]:
durmusha cykyp semreyar song shemal akidip bilenok
Wanapooana, wananenepeana, na upepo hauwezi kuwapepesua tena
2. Vazi la harusi lazima limwonyeshe bibi harusi kwa sababu baadae atavalishwa mtandop na kuufunga mdomo wake mbele ya wakwe zake.
Mavazi ya harusi nchini Turkmenistan yanatofautiana sana, yakiwa na rangi na mitindo tofauti yenye bei tofauti. Vazi la asili la Watukimeni lenye ushungi na gauni —likipambwa kwa rangi ya shaba —linaweza kuwa na uzito wa zaidi ya kilo 35.

Ushungi mzito husaidia kuonekana kwa gauni jeupe hasa wakati wa kucheza kwa nafasi. Picha imepigwa kutoka video ya mtandao wa YouTubeiliyopandishwa na Andrey Kniaz.
3. Jiandae kwa picha —picha za makundi!

Ni nadra kwa familia ya Kitukimeni kutosha kwenye picha moja. Picha ya video ya YouTube iliyowekwa na Turkmen Owazy.
4. Vilevile, hakikisha unapiga picha mbele ya Picha Rasmi ya Rais Gurbanguly Berdymuhamedov.
Radio Free Europe/Radio Liberty (RFE/RL) imeuliza ikiwa utamaduni huu ni amri rasmi au mazoea tu yasiyo rasmi. Radio hiyo inawanukuu mashuhuda wanaothibitisha kuwa picha hiyo [ya Rais] ni sehemu ya sherehe rasmi ya harusi. Hata hivyo, hiyo haionekani kuwa tatizo kwa watumiaji wa mtandao wanaojadili suala hili.
Alex anatoa maoni [ru]:
всё нормально, я бы тоже сфоткался!
Ni sawa. Hata mimi nitapiga picha mbele ya picha ya Rais pia!
5. Sehemu inayosisimua zaidi ni namna sherehe yenyewe inavyoendeshwa. Bwana harusi huja kumchukua bibi harusi kutoka nyumbani kwao.
Analazimika kuonyesha huzuni yake kwa sababu anaondoka nyumbani kwa wazazi wao milele. Hii ni sehemu ya harusi yenye mguso kwa sababu ndugu wa bibi harusi huja kumuaga. Ni wakati mbaya na mzuri kwa wakati mmoja.

Kila bibi harusi kuwaaga wapendwa wake. Picha imewekwa mtandaoni na Zarina Max
Mada za Habari

habari za karibuni
Anza mazungumzo
Mada za Habari
Kumbukumbu za Mwezi
- Disemba 2020 1 ujumbe
- Oktoba 2020 4 jumbe
- Septemba 2020 8 jumbe
- Agosti 2020 2 jumbe
- Julai 2020 1 ujumbe
- Juni 2020 1 ujumbe
- Aprili 2020 1 ujumbe
- Februari 2020 2 jumbe
- Oktoba 2019 2 jumbe
- Agosti 2019 2 jumbe
- Juni 2019 3 jumbe
- Mei 2019 10 jumbe
- Aprili 2019 14 jumbe
- Machi 2019 10 jumbe
- Februari 2019 11 jumbe
- Januari 2019 2 jumbe
- Disemba 2018 2 jumbe
- Novemba 2018 1 ujumbe
- Oktoba 2018 1 ujumbe
- Agosti 2018 3 jumbe
- Julai 2018 11 jumbe
- Juni 2018 12 jumbe
- Mei 2018 12 jumbe
- Aprili 2018 6 jumbe
- Januari 2018 2 jumbe
- Disemba 2017 3 jumbe
- Septemba 2017 1 ujumbe
- Agosti 2017 8 jumbe
- Julai 2017 8 jumbe
- Juni 2017 5 jumbe
- Mei 2017 5 jumbe
- Aprili 2017 9 jumbe
- Machi 2017 15 jumbe
- Februari 2017 8 jumbe
- Januari 2017 6 jumbe
- Disemba 2016 2 jumbe
- Novemba 2016 12 jumbe
- Oktoba 2016 16 jumbe
- Septemba 2016 7 jumbe
- Agosti 2016 5 jumbe
- Julai 2016 15 jumbe
- Juni 2016 15 jumbe
- Mei 2016 8 jumbe
- Aprili 2016 8 jumbe
- Machi 2016 10 jumbe
- Februari 2016 8 jumbe
- Januari 2016 1 ujumbe
- Disemba 2015 1 ujumbe
- Novemba 2015 10 jumbe
- Oktoba 2015 7 jumbe
- Septemba 2015 4 jumbe
- Agosti 2015 4 jumbe
- Julai 2015 2 jumbe
- Juni 2015 15 jumbe
- Mei 2015 12 jumbe
- Aprili 2015 30 jumbe
- Machi 2015 3 jumbe
- Februari 2015 25 jumbe
- Januari 2015 5 jumbe
- Novemba 2014 9 jumbe
- Oktoba 2014 21 jumbe
- Septemba 2014 32 jumbe
- Agosti 2014 2 jumbe
- Julai 2014 51 jumbe
- Juni 2014 24 jumbe
- Mei 2014 57 jumbe
- Aprili 2014 60 jumbe
- Machi 2014 67 jumbe
- Februari 2014 43 jumbe
- Januari 2014 12 jumbe
- Disemba 2013 29 jumbe
- Novemba 2013 50 jumbe
- Oktoba 2013 32 jumbe
- Septemba 2013 25 jumbe
- Agosti 2013 9 jumbe
- Julai 2013 34 jumbe
- Juni 2013 33 jumbe
- Mei 2013 28 jumbe
- Aprili 2013 18 jumbe
- Machi 2013 3 jumbe
- Februari 2013 12 jumbe
- Januari 2013 20 jumbe
- Disemba 2012 16 jumbe
- Novemba 2012 8 jumbe
- Oktoba 2012 21 jumbe
- Septemba 2012 13 jumbe
- Agosti 2012 16 jumbe
- Julai 2012 26 jumbe
- Juni 2012 21 jumbe
- Mei 2012 3 jumbe
- Aprili 2012 19 jumbe
- Machi 2012 10 jumbe
- Februari 2012 2 jumbe
- Januari 2012 10 jumbe
- Disemba 2011 16 jumbe
- Mei 2011 10 jumbe
- Aprili 2011 22 jumbe
- Februari 2011 4 jumbe
- Januari 2011 10 jumbe
- Disemba 2010 4 jumbe
- Novemba 2010 7 jumbe
- Oktoba 2010 6 jumbe
- Septemba 2010 10 jumbe
- Agosti 2010 13 jumbe
- Julai 2010 20 jumbe
- Mei 2010 2 jumbe
- Aprili 2010 16 jumbe
- Machi 2010 22 jumbe
- Februari 2010 22 jumbe
- Januari 2010 41 jumbe
- Disemba 2009 47 jumbe
- Novemba 2009 56 jumbe
- Oktoba 2009 29 jumbe
- Septemba 2009 3 jumbe
- Agosti 2009 6 jumbe
- Julai 2009 10 jumbe
- Juni 2009 11 jumbe
- Mei 2009 5 jumbe
- Aprili 2009 7 jumbe
- Machi 2009 3 jumbe
- Februari 2009 18 jumbe
- Januari 2009 12 jumbe
- Novemba 2008 3 jumbe
- Oktoba 2008 9 jumbe
- Septemba 2008 12 jumbe
- Agosti 2008 9 jumbe