Habari kutoka 30 Mei 2015
Ngono, Dini na Siasa Vinapokutana Kwenye Onesho la ‘Sidiria ya Kimalaya’
Mmarekani mwenye asili ya Pakistani Aizzah Fatima amelipa umaarufu onesho lake kwenye maeneo mbalimbali katika miaka ya hivi karibuni. Jina la onesho lenyewe linaonekana kama tusi kwa wengine. Onesho linaitwa: Sidiria ya Kimalaya.
Mjamzito wa Miaka 11 Agoma Kutoa Mimba Nchini Uruguay
Niña de 11 años embarazada que no quiere abortar genera polémica➝http://t.co/uPBo6NEKcC #Aborto #Embarazo #Uruguay — Periódico La Tribuna (@PLaTribunaFunza) May 8, 2015 Kugoma kwa mjamzito wa miaka 11 kutoa mimba...
Uchaguzi wa FIFA Unaendelea
Pamoja na kutiwa nguvuni kwa maafisa kadhaa wa FIFA kufuatia mashitaka yaliyofunguliwa na Wizara ya Sheria ya Marekani, chombo hicho kinachosimamia kandanda duniani kimesema kwamba uchaguzi wake, ambao utaunda baraza...
Lugha za Pili Zinazoongozwa Kuzungumzwa Zaidi Afrika
Don Osborne anajadili habari iliyowekwa kwenye tovuti ya Chuo Kikuu cha Olivet Nazarene ikionesha ramani ya “Lugha za pili kuzungumzwa zaidi duniani.” Anaeleza matatizo makuu kutokana na habari hiyo: Suala...