Habari kutoka 20 Aprili 2015
GVFace: Kuvunja Ukimya wa Pakistani Kuhusu Mapigano Yanayoendelea Jimbo la Balochistani
Mijadala wa wazi kuhusu vita vinavyoendelea kwenye jimbo la Balochistani ni nadra. Wanaotetea umoja wa nchi hiyo wanadhani kimya kuhusu jimbo Balochistan ni wajibu wao wa kizalendo, wengine wakijizuia kwa hofu ya nguvu ya kijeshi ya Pakistani.
Kuutafuta Ukristo Nchini Japani, Mahali Ambapo Imani za Kidini Hazina Umaarufu
"Dini yangu inanifundisha namna ya kuishi kama binadamu na kwangu hilo linavutia. Nimejiweka tayari kusikiliza mafundisho hayo."
Umoja wa Ulaya Hautatoa Nafuu ya Kodi ya VAT kwa Vitabu ya Kidigitali
Mnamo Machi 5, 2015, Mahakama ya Haki ya Umoja wa Ulaya ilitoa hukumu kwamba punguzo la kodi ya ongezeko la thamani (VAT) lililotolewa kwa vitabu vinavyochapishwa halitahusisha vitabu vya kidijitali, kwa kuzingatia kwamba kila kinachosambazwa au kutolewa kwa mfumo wa kieletroniki au kwa mtandao wa intaneti ni huduma. Amalia Lopez anahoji...
Mchora Katuni wa Malaysia Aapa Kuendelea Kupambana na Serikali Licha ya Kushitakiwa kwa Uchochezi
"Sitanyamaza. Ninawezaje kutokuwa na upande, wakati hata penseli yangu ina upande!"