Habari kutoka 21 Machi 2014
Mazungumzo ya GV: Namna ya kushinda Ufadhili wa Miradi Midogo ya Rising Voices
Je, unalo wazo la kuisaidia jamii yako kusimulia habari zao kupitia mitandao ya kijamii? Kwenye Mazungumzo ya GV timu ya Mradi wa Rising Voices inajadili namna bora ya kushinda shindano la ufadhili wa miradi midogo
Maombi ya Mtandao wa WeChat na ‘Self-Media’ kwa Raia wa China
Mitandao ya Tencent’s WeChat, huduma ya ujumbe binafsi kwa namna fulani imechukua nafasi ya mtandao unaofanana kidogo na Twita uuitwao Sina Weibo kama chombo kinachoongoza kwa mawasiliano mbadala. Mtandao wa Tea Leaf Nation umeelezea maombi ya mtandao wa WeChat na “self-media” kwa ujumla/a> kwa kizazi cha Wachina vijana, na maana ya hatua...
Maandamano ya Taiwan ya #KupingaBunge, Yatafsiriwa
Mamia ya watafsiri wamejipanga kupitia mtandao wa facebook kutafsiri habari kuhusu maandamano ya raia wanaojikusanya kwenye Bunge la nchi hiyo kupinga hatua ya chama tawala nchini humo kupitisha mkataba wa kibiashara wenye utata na nchi ya China.