Mitandao ya Tencent’s WeChat, huduma ya ujumbe binafsi kwa namna fulani imechukua nafasi ya mtandao unaofanana kidogo na Twita uuitwao Sina Weibo kama chombo kinachoongoza kwa mawasiliano mbadala. Mtandao wa Tea Leaf Nation umeelezea maombi ya mtandao wa WeChat na “self-media” kwa ujumla/a> kwa kizazi cha Wachina vijana, na maana ya hatua yake ya dharura/a>.