Habari kuhusu Maandamano
Mashirika ya Kimataifa Yataka Kuachiliwa Huru kwa Mwanaharakati wa Haki za Ardhi Nchini Cambodia Tep Vanny
“Ingawa niko jela, nina pingu mikononi na nimevaa sare za wafungwa, ukweli ni kwamba sina hatia daima.”
Mchora Vibonzo vya Kisiasa Nchini Malaysia Zunar Aishitaki Polisi Kwa Kumkamata Kinyume cha Sheria na Kushikilia Vitabu

"You can ban my books, you can ban my cartoons, but you cannot ban my mind. I will keep drawing until the last drop of my ink."
Mwandishi wa Habari wa Thailand na Wakosoaji Dhidi ya Serikali ya Kijeshi Wakabiliwa na Makosa ya Uchochezi Kupitia Facebook

"Nitaendelea kuikosoa serikali batili ya kijeshi hadi watakaponinyang'anya simu janja yangu."
Mkutano wa Wapoland Kudai Mahakama Huru Dhidi ya Marekebisho Yanayofanywa na Chama Tawala
"Mkutano wa demokrasia nchini Poland unaendelea...Mishumaa ni alama ya matumaini ya uhuru na mustakabali bora zaidi."
Video ya Muziki Inayoigiza Utawala wa Junta Rule Nchini Thailand
Video huyo, ambayo bado ipo kwenye mtandao wa YouTube, imeenea kwa kasi mtandoani.
Idadi Kubwa ya Raia Nchini Brazil Waungana na Kufanya Mgomo wa Kitaifa.
Waandamanaji wanashikilia msimamo kupinga mfululizo wa mabadiliko yanayolazimishwa na Rais wa Brazili Temer, mwenye wingi wa vitu vya wabunge na uungwaji mkono wa wafanyabiashara pamoja na kupoteza umaarufu wake.
Unamjua Muuaji Mkuu Nchini Georgia? Ni Barabara Zake
Mnamo Machi 22 huko Tbilisi, mama mmoja pamoja na mtoto wake wa kike waliokuwa wamesimama kando ya barabara waligongwa na gari. Msichana huyo wa miaka 11 alipoteza maisha papo hapo.
Kilicho cha Zamani ni Kipya: Unasikiliza? Matangazo ya Sauti
Katika matangazo haya ya sauti, tunakupeleka hadi Jamaica, Indonesia, Syria, Macedonia na Ethiopia kwa simulizi za kumbukumbu, ufufuaji na uzima mpya
Hali ya Uchafuzi wa Mazingira Kathmandu Imefanya Miungu Kuvikwa Barakoa
Kiwango cha Uchafuzi jijini Kathmandu kimezidi kiwango cha chini kinachokubaliwa huku wakazi wa jiji hili wakikabiliana na hali kwa kujizuia kwa mabarakoa, kama ilivyo kwa sanamu za watu maarufu zilizomo jiji humo.