Habari kuhusu Maandamano kutoka Aprili, 2019
Rais wa Angola Aamsha Hasira Kwenye Mahojiano Yake Akidai Hakuna Njaa Nchini Kwake
"Leo kuna chakula cha kutosha Angola, hakuna mtu anayeweza kusema eti Angola ina njaa. Kilichopo ni utapiamlo," alisema Rais wa Angola kwenye mahojiano.