Habari kuhusu Maandamano kutoka Septemba, 2012
Palestina: Maandamano Yalipuka Kupinga Ongezeko la Bei za Bidhaa na Ukosefu wa Ajira
Maandamano yanashika kasi katika mipaka ya Palestina, hasa katika miji mikuu katika Ukanda wa Magharibi. Waandamanaji wanalalamikia kupanda sana kwa gharama za maisha na ukosefu mkubwa wa ajira miongoni mwa vijana wa kipalestina.