Habari kuhusu Maandamano kutoka Machi, 2016
Wachoraji Wazindua Kampeni ya Mtandaoni Kushinikiza Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini Malaysia
"Tunaona kuwa muda umewadia kwa raia wa Malasia kudai uhuru wa vyombo vya habari na utumiaji wa mtandao wa intaneti kufuatia matukio ya kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari nchini Malasia"