Habari kuhusu Maandamano kutoka Disemba, 2013
Wanafunzi 3,000 Wafanya Maandamano dhidi ya Mageuzi ya Elimu Nchini Gabon
Mageuzi ya mfumo wa elimu yaliahirishwa [fr] nchini Gabon baada ya walimu na wanafunzi kuandamana pamoja kwa maandamano. Katika mapendekezo ya mageuzi, mitihani ya mwisho ili kupata diploma ya shule...