Habari kuhusu Maandamano kutoka Oktoba, 2013
Hong Kong: Pinga Biashara ya Pembe za Ndovu
Muungano wa watu binafsi na Asasi Zisizo za Serikali zinazoguswa na tatizo la ujangili wa tembo, Hong Kong kwa Tembo, uliandamana Oktoba 4, wakiitaka Hong Kong kuteketeza hifadhi yake ya tani 25 za pembe za ndovu.
Maandamano ya Wapinzani na wafuasi wa Jeshi Yaandaliwa Katika Viwanja vya Tahrir
Kwenye mtandao wa Twitter, Nancy anauliza kama chama cha FJP cha Muslim Brotherhoodhad kiemtumia bango lililotumika kwenye filamu ya Vita ya Dunia Z: Simulizi la Historia ya Vita ya Zombie,...
#EauSecours: AlamaHabari ya Kufanyia Mzaha Tatizo la Maji Dakar, Senegal
Dakar, mji kuu wa Senegal, umekumbwa na uhaba wa maji kwa siku 15 zilizopita [fr]. Wa-Senegali katika mitandao ya kijamii wanazoea tatizo hili kwa kufanyiana utani na uvumilivu. AlamaHabari (Hashtag)...