Habari kuhusu Maandamano kutoka Julai, 2018
Wanaharakati Dhidi ya Rushwa Nchini Urusi Wafungwa kwa “Kuchochea Maandamano” kwa Walichokiandika kwenye Mtandao wa Twita

"...hapa tena tunashuhudia mkutano ukiandaliwa kwa kupitia mtandao wa Twita. Inavyoonekana wakati huu watajikuta wanamkamata kila mtu."
Waziri Mkuu wa Zamani wa Pakistan Nawaz Sharif na Binti Yake Anarudi Pakistani Akikabiliwa na Hukumu ya rushwa
"Hukumu hii ni maendeleo makubwa katika vita dhidi ya ufisadi, na kila fisadi lazima aandikwe kwenye kitabu cha walioiibia nchi."
Waandamanaji wa Amani Kutoka Helmand Wanatarajia Kubadilisha Historia ya Afghanistan
"Kuwaona ilikuwa wakati wa furaha na uponyaji kwangu na kwa mama."
Waganda Wafanya Maandamano ya Amani Mitaani kwa Kuchoshwa na Mauaji ya Wanawake
"Kwa hiyo naandamana, niwakumbuke, hawakupewa haki yoyote na hakuna aliyekamatwa kwa ajili ya vifo hivi vya kutisha. Lakini nawathamini."