Habari kuhusu Maandamano kutoka Februari, 2017
Serikali ya Kenya Yadaiwa Kuwalipa Watumiaji Maarufu wa Mtandao ya Kijamii Kutangaza Habari za “MadaktariWalafi”
Kadri madai ya kuingiliwa kwa mitandao ya kijamii yakiongezeka, viongozi saba wa Chama cha Madaktari nchini Kenya wamehukumiwa kifungo kwa kushindwa kuzima mgomo huo unaoendelea.