Habari kuhusu Maandamano kutoka Mei, 2017
Idadi Kubwa ya Raia Nchini Brazil Waungana na Kufanya Mgomo wa Kitaifa.
Waandamanaji wanashikilia msimamo kupinga mfululizo wa mabadiliko yanayolazimishwa na Rais wa Brazili Temer, mwenye wingi wa vitu vya wabunge na uungwaji mkono wa wafanyabiashara pamoja na kupoteza umaarufu wake.