Habari kuhusu Maandamano kutoka Julai, 2014
Dunia Yasimama na Palestina: Maandamano Yafanyika Kila Bara
maandamano yamelipuka katika miji mbalimbali duniani kote kuwaunga mkono wa-Palestina na kutoa wito wa kumalizwa kwa mapigano. Hapa ni picha chache za maandamano hayo.
Mfungo wa Ramadhani Wawaingiza Watu Matatani kwa Kula Daku Usiku Nchini Misri
Vijana kumi na moja walikamatwa nchini Misri wakiwa wanapata daku usiku, kitendo kinachochukuliwa kuwa kosa la kukutana usiku kinyume na sheria. Noor Mattar ana taarifa...
Nchini Tunisia, Swali ni Ikiwa ni Lazima Kupiga Kura au Kugomea Uchaguzi
Kadri uchaguzi unavyokaribia nchini Tunisia, watumiaji wa mtandao wanajadili ikiwa uchaguzi huo unastahili kupewa heshima ya kura zao ili kuwachagua wabunge na rais