Habari kuhusu Maandamano kutoka Septemba, 2009
Uganda: Blogu,Twita Zaipasha Habari Dunia Wakati Machafuko Yanaendelea Mjini Kampala
Wakati machafuko yalipoitingisha Kampala, mji mkuu wa Uganda, kwa siku ya pili, wanablogu na watumiaji wa intaneti waliungana ili kuupasha ulimwengu habari.